Pages

Sunday, June 22, 2014

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MRADI WA MAJI WA CHIKONJI HUKO LINDI

IMG_0329Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipata maelezo ya mradi wa maji wa Kwamtokama ulioko Kata ya Chikonji Wilayani  Lindi kutoka kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Don Consult Limited Ndugu Ahmed Salum (kulia) huku baadhi ya wananchi wakichota maji kuhusu utekelezaji wa mradi. Mradi huo utakapokamilika utanufaisha wananchi waishio katika vijiji vinne vilivyopo katika kata hiyo ambavyo ni Chikonji Kaskazini na Kusini, Jangwani na Nanyanje vyenye wakazi wapatao 7000.   IMG_0342Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipata maelezo ya mradi wa maji wa Kwamtokama ulioko Kata ya Chikonji Wilayani  Lindi kutoka kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Don Consult Limited Ndugu Ahmed Salum (kulia) huku baadhi ya wananchi wakichota maji kuhusu utekelezaji wa mradi. Mradi huo utakapokamilika utanufaisha wananchi waishio katika vijiji vinne vilivyopo katika kata hiyo ambavyo ni Chikonji Kaskazini na Kusini, Jangwani na Nanyanje vyenye wakazi wapatao 7000.  IMG_0332Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Chikonji Kusini waliofika kuchota maji baada ya Mama Salma kutembelea chaqnzo hicho tarehe 20.6.2014.
 PICHA NA JOHN  LUKUWI.

No comments:

Post a Comment