STAA wa Hip Hop Bongo,ambaye pia ni kiongozi wa kundi la
Kikosi Cha Mizinga, Mtu Mzima Kalapina anatumia vizuri uaminifu alioupata
kutoka kwa wananchi kutokana na muziki.Siku ya jana Kalapina ameanza kutumikia
tenda ya ulinzi na usafi katika kituo kipya cha Makumbusho, Jijini Dar es
salaam, kituo ambacho kimechukua nafasi ya kituo cha mabasi cha Mwenge.
Prof. Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada
-
*Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba Kabudi,
amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert
Olipha...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment