Msanii nguli wa filamu tanzania azidi kutikisa kwenye vyombo
vya habari baada vituo vingi vya habari kumuomba kufanya nae intervew kwa
sababu ya kuwa kioo cha jamii ambae anawafundisha watu mbalimbali bila
kuwaharibu watu kwa skendo zisizo na maana
anasema anashukuru watu wenye blog wamekuwa wakimsaidia
kufikisha ujumbe kwa watu kirahi sana mpaka vyombo vya habari vingine vinataka
kumuhoji mara kwa mara
Interview ya kwanza ndani
ya Tbc,kipindi ni ulimwengu wa Filamu na Jay Sil
No comments:
Post a Comment