Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, June 5, 2014

MSANII WA FILAMU NCHI NISHA AZUA UTATA KWA MAHOJIANO ANAYOFANYA NA TELEVISHENI TOFAUTI


Msanii nguli wa filamu tanzania azidi kutikisa kwenye vyombo vya habari baada vituo vingi vya habari kumuomba kufanya nae intervew kwa sababu ya kuwa kioo cha jamii ambae anawafundisha watu mbalimbali bila kuwaharibu watu kwa skendo zisizo na maana

anasema anashukuru watu wenye blog wamekuwa wakimsaidia kufikisha ujumbe kwa watu kirahi sana mpaka vyombo vya habari vingine vinataka kumuhoji mara kwa mara
Interview ya  kwanza ndani ya Tbc,kipindi ni ulimwengu wa Filamu na Jay Sil

No comments:

Post a Comment