Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, June 26, 2014

PICHA; MBINU MPYA YA USAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA YABAINIKA MKOANI KILIMANJARO







Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akiwaonesha waandishi wa habari(hawako pichani)moja ya mikoba iliyotumika kufichia dawa za kulevya kwa ustadi mkubwa.
Dawa za Kulevya ambazo hazijafahamika ni aina gani zikiwa katika mifuko maalumu.
Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wakimsikiliza kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakati akitoa taarifa  juu ya kukamatwa kwa dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro KIA.CHANZO MICHUZI








No comments:

Post a Comment