Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 21, 2014

PICHA ZA DADA ALIYEKUA AKIMLA NYAMA HOUSE GIRL WAKE.

Anaitwa Amina Maige au Amina kumeza
Yusta dada wa kazi alokuwa akiteswa na boss wake kwa muda wa miaka mitatu. Boss mwenyewe ndio huyo bidada hapo juu wala hafananii na unyama alokuwa akiufanya kwa mtoto wa watu.
Picha na story kwa hisani ya Gea Habib wa heka heka za leo ndani ya leo tena.
Yupo segerea hivi sasa na na jana kesi yake ilisomwa.
 
 

No comments:

Post a Comment