Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, June 19, 2014

PICHA ZA MAGARI MATATU YAGONGANA ENEO LA MABIBO EXTERNAL



Magari matatu yamegongana kwenye makutano ya Barabara ya Ubungo-Mabibo Mwisho na Barabara ya External jijini Dar es Salaam.Ajali hiyo imelihusisha gari dogo lenye namba za usajili T 218 CVK, Canter lenye namba za usajili T 820 BYR na Lori lenye namba T 779 AWC. Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.

No comments:

Post a Comment