Magari matatu yamegongana kwenye makutano ya Barabara ya
Ubungo-Mabibo Mwisho na Barabara ya External jijini Dar es Salaam.Ajali hiyo
imelihusisha gari dogo lenye namba za usajili T 218 CVK, Canter lenye namba za
usajili T 820 BYR na Lori lenye namba T 779 AWC. Katika ajali hiyo hakuna
aliyepoteza maisha.
No comments:
Post a Comment