Msanii wa muziki Jitaman (kulia) akilishwa keki na rafiki
yake Nay wa Mitego.
Nay wa Mitego akifungua Shampeni na waalikwa.
Nay wa Mitego akimlisha keki mmoja wa marafiki zake.
STAA wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Emmanuel Eribariki
‘Nay wa Mitego’, juzi usiku alifanikiwa kukusanyika na ndugu na jamaa zake wa
karibu kwa ajili ya kusheherekea siku ya kuzaliwa kwake miaka 29
iliyopita. Ishu hiyo ilifanyika nyumbani
kwake Kimara-Baruti ambako aliwashukuru mama na baba yake na Mungu, mashabiki
wake na mpenzi wake, Siwema kwa kuifikia siku hiyo.
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)
No comments:
Post a Comment