Pages

Monday, July 7, 2014

ABIDAL ATUA KWA MABINGWA WA UGIRIKI

Eric Abidal amejiunga na mabingwa wa Ugiriki, Olympiakos akitokea MonacoBEKI Eric Abidal amejiunga na na mabingwa wa Ugiriki, Olympiacos siku kadhaa baada ya kusaini mkataba mpya na Monaco.
Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 34 alisaini Mkataba mpya wa mwaka mmoja na timu hiyo ya Ligue pamoja na beki mwenzake, Ricardo Carvalho Alhamisi.
Akiwa ameichezea mechi 29 Monaco msimu uliopoita tangu ajiunge nato akitokea Barcelona, Abidal sasa anahamia Ugiriki.

No comments:

Post a Comment