Pages

Thursday, July 3, 2014

ATHUMANI CHUJI ATUA AZAM,TAZAMA PICHA ZAKE AKIPIGA JARAMBA


Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi ‘Chuji’ akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.



Chuji akiwa mazoezini leo.CHANZO BIN ZUBERY

No comments:

Post a Comment