Pages

Thursday, July 3, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA SRI LANKA, POLAND NA ROMANIA

e1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya,  Dkt Velupilai Kananathan kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014

e2Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Dkt Velupilai Kananathan  baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
e3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski  kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014


 
e4Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski  kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
e5Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
e6Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi wa Romania nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe Julia Pataki kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
e7Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa  Romania nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Julia Pataki baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014 

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment