Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 26, 2014

HAWA NDIO WASANII AMBAO HAWAJAWAI KUHARIBU KWENYE MAUZO YA FILAMU TANZANIA



Hawa ndio wasanii ambao hawajawahi kuhalibu sokoni kila filamu inayo ingia huwa gumzo la mji haya filamu hii ya kidume inaingia mtaani tarehe 21 mwezi 8 haya ,Sasa Humo ndani kuna Salma Jabu maarufu Nisha Na Mboto kaa Tayari kwa Filamu kali toka Tanzania.

No comments:

Post a Comment