Hawa ndio wasanii ambao hawajawahi kuhalibu sokoni kila
filamu inayo ingia huwa gumzo la mji haya filamu hii ya kidume inaingia mtaani
tarehe 21 mwezi 8 haya ,Sasa Humo ndani kuna Salma Jabu maarufu Nisha Na Mboto
kaa Tayari kwa Filamu kali toka Tanzania.
No comments:
Post a Comment