Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 5, 2014

HUYU NDIO INASADIKIWA KUWA NI RAIS TAJIRI DUNIANI MJUE HAPA NA MALI ANAZOMILIKI

Anajulikana kwa jina la Vladimir Putin (Carlos Slim Helu) rais wa Urusi mwenye utajiri wenye thamani ya dola za kimarekani $69 billion, anamiliki magari ya kifahari pamoja na nyumba za bei ghali zikiwemo hata ndege binafsi na yatch zifuatazo ni mali anazomiliki pamoja na manyumba na magari na vitu vyenye thamanii

Ana nyumba zaidi ya 20 katika maeneo tofauti ikiwamo moja yenye thamani ya shilingi $950 millioni za kimarekani
Ana ndege 58 zote zikiwa ni mali zake binafsii picha hizi hapa




Ndani ya ndege hizo 58 kuna 15 helicopterszingine zilizobaki ni ndege 43


Na hizo ni moja ya magari anayomiliki yakiwa na thamani ya hali ya juu katika soko la dunia upande wa magarii
Pia ana Yacht 4




Ndani ya hizi yatch kuna kila kitu hadi swiming pool






Msahara wa Raisi wa Russia wenye thamni ya $115,000 dola za kimarekani, ambayo ni sawa na mara sita ya saa anayomiliki tajiri huyu yenye thamani ya dola za kimarekani $700,000.

No comments:

Post a Comment