Ana nyumba zaidi ya 20 katika maeneo tofauti ikiwamo moja yenye thamani ya shilingi $950 millioni za kimarekani
Ana ndege 58 zote zikiwa ni mali zake binafsii picha hizi hapa
Ndani ya ndege hizo 58 kuna 15 helicopterszingine zilizobaki ni ndege 43
Na hizo ni moja ya magari anayomiliki yakiwa na thamani ya hali ya juu katika soko la dunia upande wa magarii
Pia ana Yacht 4
Ndani ya hizi yatch kuna kila kitu hadi swiming pool
Msahara wa Raisi wa Russia wenye thamni ya $115,000 dola za kimarekani, ambayo ni sawa na mara sita ya saa anayomiliki tajiri huyu yenye thamani ya dola za kimarekani $700,000.
No comments:
Post a Comment