Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa China Jenerali Chang Wanquan Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Ulinzi wa China Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan Ikulu jijini Dar es salaam leo. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (mstaafu) Mhe Abdulrahman Shimbo pia walikuwepo
No comments:
Post a Comment