MBATIA AKIWASILI KIJIJI CHA NYAMILEMA WILAYANI SERENGETI
MBATIA AKIMSALIMIA MKE WA MAREHEMU SEBEKI
WAOMBOLEZAJI
MBATIA AKIMPA POLE MAMA WA MAREHEMU
IBADA YA MAZISHI
MBUNGE WA KASULU VIJIJINI AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
MBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI NDERAKINDO KESSY PIA ALITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
KATIBU MKUU WA NCCR MAGEUZI MOSES NYAMBABE AKISOMA WASIFU WA MAREHEMU NDANI YA CHAMA
DIWANI WA KATA YA STEND KUU MJINI MUGUMU KUPITIA CHADEMA PIA ALITOA SALAMU
MBATIA AKISISITIZA JAMBO
NYAMBAMBE AKITOA HESHIMA ZA MWISHO
SAFARI YA NYUMBA YA MWISHO YA SEBEKI
TMETOKA MAVUMBINI TUTARUDI MAVUMBINI
MBATIA AKIWEKA SHADA LA MAUA
MBATIA AKIMPA POLE MKE WA MAREHEMU BAADA YA MAZISHI
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia
ameongoza wananchi wa Wilaya ya Serengeti kwenye mazishi ya aliyekuwa Kamishina
wa Chama hicho mkoa wa Mara Stephine Sebeki katika Kijiji cha Nyamilema baada
ya kuuwawa julai 22 kwa kukatwa mapanga.
Akitoa salama za rambirambi za chama hicho,Mbatia ambaye
aliongoza na viongozi mbalimbali wa chama pamoja na wabunge wanaotokana na
chama hicho,alisema walikipokea kifo cha Sebeki kwa masikitiko makubwa kutokana
na tukio lililopelekea kifo chake na kudai ni lazima Serikali ione namna ya
kukabiliana na matukio ya mauaji.
No comments:
Post a Comment