Pages

Tuesday, July 1, 2014

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za miaka 10 ya chuo cha JKT mapinga

  Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa anakata utepe kuashiria uzinduzi rasimi wa uwanja  uliopewa jina la Jenerali Davisi Mwamunyange  ambao utatumika kwa shughuli mabalimbali ikiwemo gwaride kulia ni Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga na kushoto ni Mkuu wa chuo cha JKT Mapinga Meja Aristides Rutta sherehe hizo ziliambatana na kutimiza miaka kumi ya kuanzishwa kwa chuo cha JKT Mapinga  kilichopo jijini Dar es salaam
 Mkuu wa majeshi ya ulinzi Jenerali Devisi Mwamunyange akikagua gwaride h lililo andaliwa wakati wa sherehe za kutimiza miaka kumi ya kuanzishwa chuo cha jkt Mapinga kilichopo jijini Dar es salaam 
 Mkuu wa majeshi ya ulinzi Jenerali  Devisi Mwamunyange akiwa anangalia bwawa lakufugia samaki ambalo limejengwa na chuo cha jkt mapinga jenerali Mwamunyange alikuwa mgeni rasimi katika kuadhimisha miaka kumi ya kuanzishwa kwa chuo cha jkt mapinga

 Jengo la utawala la  chuo cha JKT Mapinga  kilichopo jijini Dar es salaam
  Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiongea wakati wa  uzinduzi rasimi wa uwanja  uliopewa jina la Jenerali Davis Mwamunyange  ambao utatumika kwa shughuli mabalimbali ikiwemo gwaride.
 Picha na Chris Mfinanga

No comments:

Post a Comment