Pages

Tuesday, July 1, 2014

wachezaji wanaongoza kwa magoli kombe la dunia mpaka hatua ya 16 bora


Michuano ya kombe la dunia imefikia kwenye hatua ya 16 bora ikielekea nane bora, mpaka sasa fainali hizi za mwaka huu zinaelekea kuwa moja ya michuano ya kombe la dunia ambayo ndani yake kumekuwepo na magoli mengi, mpaka kufikia mechi za jana tayari magoli zaidi ya 150 yalikuwa yashatinga nyavuni.

Mshambualiaji wa Colombia James Rodriguez ndio anaongoza mpaka sasa akiwa na magoli matano, akifuatiwa na Neymar, Messi, Muller, ambao wote wana magoli manne kila mmoja, Arjen Robben, Van Persie na Benzema wanafuatia wakiwa na magoli matatu.

Listi kamili ya wafungaji bora wa World Cup


No comments:

Post a Comment