Pages

Saturday, July 26, 2014

MKUU WA MKOA MOROGORO AONGOZA MAMIA KUMZIKA MKE WA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO KUSINI.


 Mkuu wa mkoa akimpeleka Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh  Innocent Kalogeris  kupokea mwili wa mpendwa mke wake,kulia ni dada wa mbunge huyo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Dr Joel Bendera Leo amewaongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Morogoro kumzika Mke wa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Mh lnocenti Kalogeris watu mbali mbali wakiwemo wabunge,wakuu wa mikoa wa staafu na watu mashuhuli wamefulika nyumbani kwa mbunge huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro CCM 
 
 Marehemu Elizabeth Kapoloma enzi za Uhai wake
Bi,Elizabeth Kapoloma aliyetwaliwa na bwana juzi Julay 24  inaendelea nyumbani kwake Kilakala na kwamba baada ya ibada hiyo kukamilika mwili wa marehemu utakwenda kuhifadhiwa katika makaburi ya Kolla ya mkaoni hapa.
 Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani kwake
                       
  Mkuu wa mkoa  Joel Bendera akimbembeleza Mume wa marehemu Mhe lnocent
 Mbunge huyo akiingizwa kwenye chumba kilichowekwa jeneza lenye mwili wa mpendwa mkewake.
 Diwani wa Kata ya Mji Mpya Wensilaus Karogerezi ambaye ni kaka wa mbunge huyo akiangua kilio kwa uchungu baada ya kuondokewa na mpendwa shemeji yake
 Mstakihi Meya wa Mji wa Morogoro Amir Juma Nondo ambaye pia ni Diwani wa kata ya Boma akimbembeleza Diwani mwenzake  Wensly Kalogeris  Ambaye Pia ni Kaka wa Mbunge wa Jimbo ala Morogoro Kusini
 Mtoto wa Marehemu akiangua kilio baada ya mwili wa mpendwa mama wake kuwasili nyumbani kwao 

                 Mbunge wa viti maalumu'CCM'  Mhe Magreth Mkanga
 Mbunge mstaafu wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Lotto akimpa pole Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh lnnocent Kalogeris Kwenye mazishi ya Mkew a Mbunge Huyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro  Mhe  lnnocent Kalogeris akifarijiana na mama yake mzazi 
Na Dustan Shekidele,Morogoro.

No comments:

Post a Comment