SOKO LA FILAMU SASA INASEMEKANA LABAKIA KWA MBOTO NISHA
Inasemekana soko la filamu limebaki kwa nisha na
mboto na hakuna filamu itakayo kamata kama hii inayosubiriwa kwa hamu
sana na mashabiki sokoni filamu ya kidume kwani oda zimeongezeka kwa
mujibu wa wasambazaji wa filamu hiyo Steps entertiment.Mtandao wetu uliongea na mhusika mkuu wa Filamu hiyo mpya Mboto na akatupasaha kuwa Oda za Filamu yake hiyo mpya imekuwa kubwa na uhitaji wa haraka kwa wauzaji,na hiyo inatokana na kufanya kazi na mwanadada anayekimbiza sokoni kwa mauzo nishabebe(Nisha).
No comments:
Post a Comment