Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 24, 2014

SOKO LA FILAMU SASA INASEMEKANA LABAKIA KWA MBOTO NISHA



Inasemekana soko la filamu limebaki kwa nisha na mboto na hakuna filamu itakayo kamata kama hii inayosubiriwa kwa hamu sana na mashabiki sokoni filamu ya kidume kwani oda zimeongezeka kwa mujibu wa wasambazaji wa filamu hiyo Steps entertiment.Mtandao wetu uliongea na mhusika 


mkuu wa Filamu hiyo mpya Mboto na akatupasaha kuwa Oda za Filamu yake hiyo mpya imekuwa kubwa na uhitaji wa haraka kwa wauzaji,na hiyo inatokana na kufanya kazi na mwanadada anayekimbiza sokoni kwa mauzo nishabebe(Nisha).

No comments:

Post a Comment