Majangili waliokamatwa wakiwa chini ya ulinzi!
Wimbi la kuongezeka kwa majangili limeendelea licha ya
kuwepo kwa ulinzi katika mbuga zetu za
wanyama. Hii ni kutokana tukio lingine lililotekea kwenye hifadhi ya Serengeti
ya kuwakamata majangili, ikiwa ni siku mbili tangu kuondoka kwa mmiliki wa
Singita Grumeti ambaye alikuwepo kwa wiki mbili kama ilivyo utaratibu wake wa
kila mwaka.Askari wake wameendelea
kukamata majangili ambapo usiku wa kuamkia leo wamewakamata majangili watatu
wakiwa na swala.
Swala aliyeuawa na majangili hao
swala aliyekuwa kauawa akiwa kapakiwa kwenye gari kwa
ushahidi.CHANZO GPL
No comments:
Post a Comment