Pages

Thursday, July 24, 2014

TAARIFA KWA UMMA::KIVUKO CHA KIGAMBONI "MV KIGAMBONI" KWENDA KWENYE MATENGENEZO



Telegrams TEMESA DSM                                                             S.L.P  70704

Simu: +255-22-2862796/97                                                             DAR ES SALAAM

Fax:   +255-22-2865835                                                                  TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda kwenye matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia leo.

Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa 

kutumia vivuko vya MV. Magogoni pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.

Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.

Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu

TEMESA

          23/7/2014

No comments:

Post a Comment