Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Watu wa China, Jenerali Chang
Wanquan (Kulia) na waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Hussein
Mwinyi wakikagua gwaride rasmi lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na JKT, Dar es Salaam leo.(PICHA
KWA HISANI YA JWTZ)
No comments:
Post a Comment