MTU mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Mgogo, ambaye ni dereva wa bodaboda amegongwa gari na kufariki papo hapo, jioni hii mkoani Morogoro.Gari iliyomgonga dereva huyo ni aina ya Coaster inayofanya safari ya Kihonda Mjini mkoani humo.
PWANI WAITWA KUBORESHA TAARIFA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
-
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jahi (Rufaa)
Mbarouk S. Mbarouk.
Chifu wa Mkoa wa Pwani Salim Mashimb
Na Khadija Kalili ...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment