Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 25, 2014

FUSO LAUA MWENDESHA BAISKELI IFAKARA, MOROGORO

Mwili wa marehemu ukiwa eneo la ajali. Pembeni ni baiskeli yake.
Baiskeli ya marehemu ikipakiwa kwenye gari.

 
Wananchi wakiwa eneo la ajali.
MWENDESHA baiskeli ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kugongwa na lori aina ya Fuso eneo la Kibaoni, Ifakara mkoani Morogoro jana.
Marehemu anadaiwa kuwa ni mlinzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani humo.

No comments:

Post a Comment