Pages

Wednesday, August 20, 2014

BENFICA WAKAMILISHA USAJILIAWA GOLIKIPA JULIO CESAR

Julio Cesar sasa atacheza Ligi ya Mabingwa baada ya kusaini Benfica ya Ureno
KLABU ya Benfica imekamilisha usajili wa kipa wa kimataifa wa Brazil, Julio Cesar kwa mkataba wa miaka miwili kutoka QPR.
Mlinda mlango huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 34 alijiunga na klabu hiyo ya London mwaka 2012, lakini akacheza mechi 24 kabla ya kwenda kwa mkopo Toronto.

Robert Green amechukua nafasi yake kama kipa wa kwanza wa klabu hiyo na Benfica imeamua kumchukua kipa huyo aliidakia Brazil iliyofanya vibaya Kombe la Dunia mwaka huu.

No comments:

Post a Comment