Pages

Saturday, August 30, 2014

BREAKING NEWS : MALORI YAFUNGA BARABARA UYOLE MBEYA,TAZAMA TUKIO ZIMA HAPA








Taarifa iliyoifikia mtandao huu ni kwamba malori mengi yamefunga barabara kuu ambayo ni kiungo muhimu kwenda nchi za zambia na malawi eneo la uyole,Waandishi wetu wapo eneo la tukio kufuatilia nini chanzo cha malori hayo kufunga barabara hiyo.Tutakuletea taarifa kamili.
NA MBEYA YETU BLOG

No comments:

Post a Comment