1. Kama
mwenza wako hakupi kipaumbele katika mambo yanayotokea, pengine anaumwa lakini
huambiwi chochote unakuja kusikia hayo kutoka kwa marafiki, anaandika kwenye
mitandao ya kijamii, ama ndugu wengine! Anza kuchukua hatua.
2.Kama Wewe/mpenzi
wako anaandaa malengo bila kukushirikisha
kuna dalili ya mahusionao yenu kuvunjika kwa sababu malengo ni kwaajili ya
baadae na ukiona malengo yako hayamuhusu mwenza wako basi kuna shida.
3.Kama
hamna furaha tena kama kipindi kile mlipokuwa mnaanza mapenzi yenu, kama hakuna
tena utani na vitu vingine vinavyopelekea furaha baina yenu basi kuna hatari
ya mahusiano yanakaribia kuvunjika
4.Unakuwa
na furaha zaidi ukiwa na rafiki wa mpenzi wako mnapokuwa mnaongea, kucheza,
utani nk kuliko mwenza wako. Au mpenzi wako anafuraha zaidi akiwa na marafiki
zako kuliko wewe anza kuwa makini.
5.Kama wazo
la kuendelea kuwa pamoja linaondoka kichwani kwako kutokana na sababu moja
amanyingine kuna uwezekano wa mahusiano hayo kuelekea mwishoni.
ENDELEA KUSOMA MAKALA HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
6.Kama
hakuna mawasiliano ya mara kwa mara mara nyingine siku kupita bila kuwasiliana
na mpenzi wako bila sababu ya msingi, na uwezo wa kuwasiliana upon a hakuna
anayeshangaa jua hapo kuna tatizo. Kila mkiwasiliana ni Ugonvi tu! Kuna dalili za kuachana na mpenzi wako
7.Ukiona
unahitaji kubadilika kutoka kwenye uhalisia uliokuwa nao mwanzo ili kumfanya
mwenza wako kuwa furaha, ujue kuna jambo haliko sawa!
8.Kama
utajikuta wewe ni mtu wa kusikitika na kulia kila siku kuhusiana na mahusiano
yako basi jua uko katika mahusiano yasiyo sahihi. Kila mtu ana nafasi sawa ya
kuwa na furaha duniani.
9. Mnakutana
tu siku ya kujamiiana, au hamfanyi tena
mapenzi ukulinganisha na zamani na
mmeridhika na hilo, kuna dalili za kuachana.
10.Kama
mwenza wako anaficha sana simu yake na hataki kabisa ushike, na Ukishika
anakupa sababu ya dharula, ama pengine hamuaminiani kabisa! ujue kuna kitu
kimejificha hapo!
MAKALA HII NA KUMI MUHIMU
1. Kama mwenza wako hakupi kipaumbele katika mambo yanayotokea, pengine anaumwa lakini huambiwi chochote unakuja kusikia hayo kutoka kwa marafiki, anaandika kwenye mitandao ya kijamii, ama ndugu wengine! Anza kuchukua hatua.
5.Kama wazo
la kuendelea kuwa pamoja linaondoka kichwani kwako kutokana na sababu moja
amanyingine kuna uwezekano wa mahusiano hayo kuelekea mwishoni.
No comments:
Post a Comment