TAZAMA PICHA 3 ZA MTOTO WA MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA XXL B12
Inawezekana unafahamu mengi kuhusu mtangazaji maarufu wa radio, Hamis Mandi aka B-12 aka B-Dozen wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, lakini huenda ulikuwa haufahamu kuwa ni baba, au hujawai kumuona mtoto wake.
Kupitia Instagram Dozen ameamua kushare na mashabiki wake picha ya mtoto wake wa kiume.
“My son is cool like that……”, ameandika Dozen katika caption ya picha hiyo (juu).
No comments:
Post a Comment