Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 19, 2014

LUIS SUAREZ AANZA KUPIGA MZIGO KWA DAKIKA 15 BARCELONA IKIICHARAZA FC LEON 6-0 CAMP NO

Take a bow: Luis Suarez came on as a 75th minute substitute to make his Barcelona debut


Kaonja ladha ya Camp Nou: Suarez aliingia akitokea benchi katika dakika ya 75 na kucheza mechi yake ya kwanza Barcelona. 
Bado ana miezi miwili zaidi ili kuanza rasmi kucheza, lakini Luis Suarez tayari ameonja kelele za Camp Nou zikishangilia jina lake.
Sasa anaanza wakati mgumu wa kuwatazama wachezaji wenzake mpaka Oktoba 25 mwaka huu.

 
Hatimaye mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool ametambulishwa kwa mashabiki wa Barcelona jumatatu usiku kabla ya Barca kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya FC Leon, wiki tano baada ya kujiunga na klabu, na siku nne baada ya kifungo cha FIFA cha kutojihusisha na shughuli zote za michezo kuondolewa.
Saa moja kabla ya kuanza kwa mechi ya mwisho ya maandalizi ya msimu kwa Barcelona, uwanja haukufurika sana, lakini kulikuwa na shangwe za kutosha na jina lake liliimbwa akiwa amevalia jezi namba 9.
About time! The Uruguay international high fives as he replaces youngster Rafinha 
Muda ukawadia! Akimpa tano kinda Rafinha na kuchukua nafasi yake.
Your number's up: Luis Suarez comes on wearing the No 9 shirt for Barcelona
Namba yako hii baba!: Luis Suarez alitokea benchi akivalia jezi namba 9 
Cameo: The former Liverpool striker didn't get much time on the ball during his brief introduction
Akaanza mambo: Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool hakucheza sana mpira katika mechi yake ya utambulisho
Still got it! Lionel Messi sets the tone by taking on the Leon defence in the opening minutes
 Lionel Messi akichuana na mabeki wa Leon FC
First blood: Lionel Messi opened the scoring for Barcelona after only three minutes
Lionel Messi alifungua karamu ya mabao ya Barcelona akifunga bao la kuongoza katika dakika ya tatu ya mchezo
Double act: Lionel Messi celebrates with Neymar after the Brazilian set up the first goal
Hakuna mashaka: Lionel Messi akishangilia bao lake na  Neymar baada ya Brazil huyo kutoa pasi ya goli hilo.
Boy from Brazil: Neymar looked sharp as he doubled Barcelona's lead in the first-half
Kijana kutoka Brazil: Neymar alionekana kuimarika baada ya kuifungia bao la pili Barcelona katika kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment