Brooklyn Beckham mtoto wa kwanza wa David Beckham ana miaka
15 na hivi sasa ameanza ku-date na msichana mwenye umri wa miaka 17. Hii ni
mara ya kwanza kwa mtoto huyu wa kwanza wa Beckham na camera nyingi zimeanza
kumfatilia kwenye kila mtoko atakao kuwa na actress/model Chloe Moretz.
Wawili hawa wametambulishwa na marafiki zao na kuanza
urafiki wa karibu hatimaye kuanzisha uhusiano wa kimapenzi. Sources zinasema
kwamba David Beckham na Victoria Beckham wanajua kinachoendelea kati ya mtoto
wao na Chloe Moretz. Wote kwa pamoja imeripotiwa wamempa baraka mtoto wao
kuendelea na uhusiano huO
No comments:
Post a Comment