Pages

Wednesday, August 20, 2014

NEWS ALERT: BASI LA SKYLINE LINALOFANYA SAFARI ZAKE KATI YA MBEYA NA DODOMA LAPINDUK MLIMA NYOKA

 Askari wa Usalama Barabarani akikagua basi la Skyline lililopinduka leo katika Mlima Nyoka na hakuna aliyeripotiwa Kupoteza maisha katika ajali hiyo
 Askari wa Usalama Barabarani wakiwa katika eneo la tukio tayari kwa kuanza kazi yao



Basi la Skyline likiwa limepinduka katika Mlima Nyoka
Basi la SkyLine linalofanya Safari zake katika ya Mbeya na Dodoma limepinduka katika eneo la Mlima Nyoka Majira ya Saa moja Kaso za Asubuhi leo. Taarifa za awali zinasema kuwa Hakuna Aliyepoteza maisha katika Ajali hiyo na baadhi ya abiria wachache ndo wamepata majeraha sehemu mbalimbali za miili. Picha zaidi zitakujia Hivi Punde

Tunaendelea kuwajuza zaidi kadri mdau wetu ambae pia alikuwa katika ajali hiyo atakavyozidi kutupa Habari.Picha na Tumaini Daudi wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment