Pages

Tuesday, August 19, 2014

PICHA: AJALI YATOKEA MKOANI TABORA BAADA YA MABASI YA SABENA NA A.M. DREAMLINE KUGONGANA USO KWA USO

 Hali ni tete sana eneo la Mkolye, takribani km 4 toka Mjini Sikonge baada ya basi la Sabena lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Mwanza na basi la A.M. toka Tabora kwenda Katavi kugongana uso kwa uso. Dreva wote wa mabasi hayo wamefariki hapo hapo, mmoja akiwa amekatika kichwa.  
 Abiria kadhaa wakiwa wamenasa katika mabasi hayo, baadhi wakiwa wamekatika mikono na miguu. Abiria wapatao zaodi 30 wamefariki hapo, na majeruhi zaidi ya 30 wamepelekwa katika Hospitali ya Mission ya wilayani Sikonge.


 Mashuhuda wa ajali iliyohusisha mabasi mawili ya abiria kati ya Sabena ya Mbeya-Tabora na AM Dreamline ya Mwanza-Mpanda.
Baadhi ya miili ya marehemu.

No comments:

Post a Comment