Bw. Hamis Juma akijitetea kuhusiana na shutuma za mkewe.
“Na tangu mume
wangu aanze mchezo huo huyo mbwa mmoja mweusi (pichani)
amenawiri kupita kiasi, naamini amempa mimba.
Kweli dunia sasa ni vululuvululu! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha
kwa jina la
Cecilia Hamis (pichani), mkazi wa Majoe Mjimpya Relini jijini Dar
es Salaam amemlalamikia mumewe aliyemtaja kwa jina la Hamis Juma kwamba
ametembea na mbwa wao mweusi hadi kumpa mimba.Akizungumza na Uwazi mwishoni mwa
wiki iliyopita nyumbani kwake, mwanamke huyo alisema alibaini hilo wiki mbili
zilizopita.
Mwanamke
anayejitambulisha kwa jina la Cecilia Hamis akiwa na mume
wake(mtuhumiwa) Hamis Juma.
SIMULIZI YENYEWE
“Nililigundua hilo wiki mbili zilizopita. Nakumbuka ilikuwa
usiku nikiwa nimelala, nikamsikia mbwa mmoja (kati ya wawili) analia. Niliamka
kwenda kuangalia ili kujua sababu, kufika nikawasha tochi ya simu, nilishangaa
sana kumwona mume wangu yuko naye amemshikilia (asomaye na afahamu).
“Nilimuuliza anachokifanya, akasema anammalizia shida zake
kwa kuwa hakuna mbwa wa kiume wa kumsaidia,” alisema mwanamke huyo.
MARA YA PILI
Akiendelea kumlalamikia mume wake kwa madai hayo mazito,
mama huyo alisema:
“Siku iliyofuata usiku tena, nikiwa nimelala nilimsikia mbwa
akilia, nikaamka. Safari hii niliambatana na watoto wangu, tukaenda nje, kufika
tukamshuhudia mume wangu akifanya tukio kama la jana yake, nilipomuuliza
akanipa majibu yaleyale kwamba anammaliza shida zake mbwa huyo.”
Akaendelea: “Hawa mbwa waliletwa wawili wakiwa wadogo kabisa
na wote ni majike na tangu walipoletwa sijawahi kumwona mbwa dume hata siku
moja kwani mara nyingi tunawafungia kwenye banda lao.
”
AWAELEZA MAJIRANI
Mwanamke huyo alisema kutokana na kukithiri kwa tabia hiyo,
aliamua kuwaeleza majirani ambao nao walimshauri aende kuripoti kwa mjumbe wa
eneo hilo.
MJUMBE MWENYEWE HUYU
HAPA
Akizungumza na Uwazi, Mjumbe wa Shina Na. 26, Majoe Mjimpya,
Mbaruka Nyamaishwa alikiri kupokea malalamiko hayo kutoka kwa mwanamke huyo
akamshauri kuyapeleka kwenye Kituo cha Polisi cha Stakishari.
Mbwa anayedaiwa kupewa mimba na Bw. Hamis Juma.
MAJIRANI WAONA
ANACHELEWA
Habari zaidi zinawekwa wazi kwamba, majirani nao walipoona
mwanamke huyo anachelewa kwenda polisi, wao walimsomba na kwenda naye ambapo
walitoa taarifa katika Dawati la Jinsia.
Mkuu wa dawati hilo, Koplo Golbert aliongozana na
walalamikaji hao hadi nyumbani kwa mdaiwa ambapo alimkagua mbwa huyo na
kuwaamuru wanandoa hao kuripoti kwenye kituo hicho cha polisi bila kukosa jana
Jumatatu saa 3 kuonana na mkuu huyo na uchunguzi kuendelea.
SWALI LA MSINGI
Uwazi lilimuuliza swali moja mwanamke huyo, ni kwa nini
anasema aliamka na kutoka nje usiku bila kueleza mumewe anakuwa wapi muda huo
kwani hakuonyesha kushangaa kutomwona kitandani?
Anajibu: “Tulitengana vyumba kwa sababu ya ugomvi wa
kifamilia.”
Mbwa huyo akicheza na mwenzie.
JE, MUME ANASEMAJE?
Uwazi lilimgeukia mume wa mwanamke huyo na kumuuliza kuhusu
madai mazito ya mkewe ambapo alisema:
“Mimi sijawahi
kufanya kitendo hicho na mbwa ila nahisi mke wangu na hawa majirani wa hapa
wananitengenezea hilo tukio ili nikafungwe jela maisha, halafu wao waweze
kuchukuwa mashamba yangu kwani ndani ya ndoa yangu kumekuwa na ugomvi wa mara
kwa mara.”
UWAZI LAMUULIZA
DAKTARI WA MUHIMBILI
Uwazi lilitilia shaka uwezekano wa mbwa kunasa mimba ya
binadamu, hivyo lilimsaka daktari mmoja wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
na kumuuliza kuhusu madai ya mwanamke huyo.
Msikie: “Mh! Binadamu kumpa mimba mbwa haiwezekani. Binadamu
anaweza kumpa mimba sokwe, kwa mbali sana nyani. Lakini si mbwa.
“Ila kama huyo mama
anasema hivyo, mbwa akapimwe na ikibainika ni kweli basi yatakuwa maajabu ya
dunia maana dunia ina mambo yake.”CHANZO GPL
No comments:
Post a Comment