Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa
Mwanza Mhandisi Evarest Ndikilo (kulia) na Katibu wa CCM wa Mkoa wa Mwanza,
Joyce Masunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza August 22, 2014 ambako August 23, 2014
anatarajiwa kuongoza harambee iliyoandaliwa na Mkapa Foundation. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA CMA KWA UANZISHWAJI WA MFUMO WA KIDIJITALI.
-
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume
ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa uanzishwaji wa Mfumo wa Uendeshaji na
Us...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment