Manchester United wamekamilisha majadiliano na Real Madrid
na watalipa pauni milioni 63.9 na kuvunja rekodi ya Uingereza kumnunua winga
Angel Di Maria (Sky Sports), mchezaji huyo kutoka Argentina huenda akafikia
kuuzwa kwa pauni milioni 72, milioni 60 zikilipwa mwanzo na milioni 12 baadaye
(Daily Mirror), Juventus wataanza mazungumzo na Arsenal kuhusu Lukas Podolski.
Juventus wanamtaka kwa mkopo
lakini Arsenal wanataka kumuuza (Daily Telegraph),
boss wa Real Madrid Carlo Ancelotti amesema Sami Khedira, 27, hatoondoka licha
ya kufuatiliwa na Arsenal, Bayern Munich na Manchester United (Guardian),
meneja wa Everton Roberto Martinez amesema bado anaweza kumsajili Samuel Eto'o,
33, au Danny Welbeck, 23, katika wiki ya mwisho ya dirisha la usajili (Times),
boss wa Arsenal Arsene Wenger amemuulizia beki mkabaji wa Brazil Luiz Gustavo,
27, anayechezea Wolfsburg (Daily Mirror), Southampton wamepanda dau kwa winga
wa Tottenham Andros Townsend, 23, (ESPN FC), meneja wa Southampton Ronald
Koeman yuko tayari kuanza kumfuatilia tena winga wa Norwich Nathan Redmond, 20,
(Sun), Liverpool watalazimika kuchukua hatua za haraka kumsajili Radamel
Falcao, 28, wakati Juventus wakimtaka mshambuliaji huyo wa Monaco kwa mkopo
(Daily Star), Fernando Torres hatoondoka Chelsea bila ya mkataba wa kitita cha
pauni milioni 8.5 kutolewa. Roma wanamtaka mshambuliaji huyo (Sun), Sunderland
wamekuwa na mazungumzo na winga wa zamani wa Chelsea, Salomon Kalou, 29, ambaye
pia anatazamwa na Arsenal, Liverpool na Everton (Daily Express), boss wa Sunderland
ana matumaini ya kupata jibu iwapo mshambuliaji wa Liverpool Fabio Borini, 23,
atajiunga nao au la (Sunderland Echo), West Ham wamemuulizia beki wa Manchester
City Micah Richards, 26, ambaye anaonekana huenda akaondoka City wiki hii
(Sun), QPR wamehusishwa na kipa wa Reading Alex McCarthy, 24, (Daily Star), AC
Milan wanamtaka Samuel Eto'o na Fernando Torres kuziba pengo la Mario Balotelli
(Gazetta dello Sport), Juventus wana nafasi kubwa ya kumshawishi Radamel Falcao
kujiunga nao kwa mkopo wa mwaka mmoja (Gazetta dello Sport), Lukas Podolski
huenda akasaini mkataba wa miaka mitatu na Wolfsburg na watalipa euro milioni
12 kumsajili kutoka Arsenal (L'Equipe). Zimesalia siku saba kabla ya dirisha la
usajili kufungwa. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Cheers!!!! TETESI ZA SOKA ULAYA
Manchester United wamekamilisha majadiliano na Real Madrid
na watalipa pauni milioni 63.9 na kuvunja rekodi ya Uingereza kumnunua winga
Angel Di Maria (Sky Sports), mchezaji huyo kutoka Argentina huenda akafikia
kuuzwa kwa pauni milioni 72, milioni 60 zikilipwa mwanzo na milioni 12 baadaye
(Daily Mirror), Juventus wataanza mazungumzo na Arsenal kuhusu Lukas Podolski.
Juventus wanamtaka kwa mkopo lakini Arsenal wanataka kumuuza (Daily Telegraph),
boss wa Real Madrid Carlo Ancelotti amesema Sami Khedira, 27, hatoondoka licha
ya kufuatiliwa na Arsenal, Bayern Munich na Manchester United (Guardian),
meneja wa Everton Roberto Martinez amesema bado anaweza kumsajili Samuel Eto'o,
33, au Danny Welbeck, 23, katika wiki ya mwisho ya dirisha la usajili (Times),
boss wa Arsenal Arsene Wenger amemuulizia beki mkabaji wa Brazil Luiz Gustavo,
27, anayechezea Wolfsburg (Daily Mirror), Southampton wamepanda dau kwa winga
wa Tottenham Andros Townsend, 23, (ESPN FC), meneja wa Southampton Ronald
Koeman yuko tayari kuanza kumfuatilia tena winga wa Norwich Nathan Redmond, 20,
(Sun), Liverpool watalazimika kuchukua hatua za haraka kumsajili Radamel
Falcao, 28, wakati Juventus wakimtaka mshambuliaji huyo wa Monaco kwa mkopo
(Daily Star), Fernando Torres hatoondoka Chelsea bila ya mkataba wa kitita cha
pauni milioni 8.5 kutolewa. Roma wanamtaka mshambuliaji huyo (Sun), Sunderland
wamekuwa na mazungumzo na winga wa zamani wa Chelsea, Salomon Kalou, 29, ambaye
pia anatazamwa na Arsenal, Liverpool na Everton (Daily Express), boss wa Sunderland
ana matumaini ya kupata jibu iwapo mshambuliaji wa Liverpool Fabio Borini, 23,
atajiunga nao au la (Sunderland Echo), West Ham wamemuulizia beki wa Manchester
City Micah Richards, 26, ambaye anaonekana huenda akaondoka City wiki hii
(Sun), QPR wamehusishwa na kipa wa Reading Alex McCarthy, 24, (Daily Star), AC
Milan wanamtaka Samuel Eto'o na Fernando Torres kuziba pengo la Mario Balotelli
(Gazetta dello Sport), Juventus wana nafasi kubwa ya kumshawishi Radamel Falcao
kujiunga nao kwa mkopo wa mwaka mmoja (Gazetta dello Sport), Lukas Podolski
huenda akasaini mkataba wa miaka mitatu na Wolfsburg na watalipa euro milioni
12 kumsajili kutoka Arsenal (L'Equipe). Zimesalia siku saba kabla ya dirisha la
usajili kufungwa. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Cheers!!!!Na Salim Kikeke
No comments:
Post a Comment