MANCHESTER United bado wanapambana kuhakikisha wanawasajili
nyota wawili wa Real Madrid, Muargentina, Angel di Maria na Mjerumani Sami
Khedira.
Habari njema kwa mashabiki wa United ni kwamba makamu
mwenyekiti wa klabu hiyo, Ed Woodward anapigana kuwasajili wachezaji hao kabla
ya kufungwa kwa dirisha la usajili.Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti
alisema jumanne kuwa Di Maria na Khedira wanaweza kuondoka.Di Maria amekuwa
katika rada za Louis Van Gaal kwa majira yote ya kiangazi wakati Khedira
alimuona wakati anafundisha soka nchini Ujerumani.
Anawindwa: Di Maria ndiye chaguo namba moja la Louis van
Gaal na Manchester United majira haya ya kiangazi
wanawasajili
nyota wawili wa Real Madrid, Muargentina, Angel di Maria na Mjerumani Sami
Khedira.
Habari njema kwa mashabiki wa United ni kwamba makamu
mwenyekiti wa klabu hiyo, Ed Woodward anapigana kuwasajili wachezaji hao kabla
ya kufungwa kwa dirisha la usajili.Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti
alisema jumanne kuwa Di Maria na Khedira wanaweza kuondoka.Di Maria amekuwa
katika rada za Louis Van Gaal kwa majira yote ya kiangazi wakati Khedira
alimuona wakati anafundisha soka nchini Ujerumani.
No comments:
Post a Comment