Msanii wa muziki na filamu H.Baba ambaye yupo ndani ya ndoa
na msanii mwenzake Flora Mvungi ametoa maoni yake kwa kile kinachooendelea kati
ya pande mbili za kishabiki za Diamond na mpenzi wake Wema.
Kupitia ukurasa
Instagram, H.Baba amesema:
Tanzaniteone uyo anawaambia sina chakusema kuhusu baba yangu
na mama yangu ila baba analolakuwaambia Wema na Naseeb. Wema kapewa lawama
nyingi ila asilaumiwe kwasababu kuu nyingi tu anaeweza kumuongoza Wema ni
Naseeb au mama Wema na Martin, upande mwingine Wema na Daimond wanamakosa kwani
wanasubiri nini kuowana kama Kweli wanapendana wangefunga ndoa yaya yote
yasingetokea kusaidiana kazini ipo ata mie huwanapanda na Mama Tanzaniteone
kwenye show zangu pia filamu ya wife nashiriki. ushauri wangu Diamond unaweza
kumuongoza Wema vyema tuu kama mimi ninavyomuongoza Mama Tanzaniteone ninaimani
unaweza kumuongoza vyema zaidi yetu sisi. Wawili wakipendana kuingilia penzi ni
inshu ila wanapendezana sana chamsingi wangesaidiana kwenye kazi zaidi kama
wema anavyoonekana akitoa #saport kubwa kwa #NASEEB na naseeb aonyeshe
ushirikiano kwenye mov za wema awepo pia watauza sana kama tunavyouza filamu
zetu Mie namamatanzaniteone Ikitoka leo inaisha fasta.
Pia amuongoze kwenye kipindi cha WEMA SHOW mnasaidiana
kwelii ata maadui wataogopa #diamond anaweza kumpandisha wema na wema anaweza
kumpandisha #daimond wote mnanguvu sana mnamashabiki sana #owaneni mtulie tuuu
kwani nn mnakosa mbona sisi tupo tunaishi vyema kwa uwezo wa mungu kazi
tunapata mtoto tunamlea vyema hatujalala Njaa kwasababu mwanaume kazini mwanamke
kazini #NDOA raha sana asikudanganye mtu unaheshimika popote palee kama #Mume
wa mtu na #mke wa mtu #Muda ndo huu umriii uwoo unakwenda fanyeni yenu fasta
#leo juu kesho chini #tunawapenda sana tunawatakia maisha mema yenye Furaha
kama sisi apa tunafuraha Muda wote? Karibuni kwenye ndoa muone rahaaa..
No comments:
Post a Comment