Pages

Sunday, August 17, 2014

MAKAVU LIVE: MASHABIKI WA DIAMOND WAJA JUU, WAMSHUKIA AUNT KUMUHARIBU WEMA!JIONEE MWENYEWE HAPA

 Baada ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni maalum dhidi ya Diamond wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game walilomzoea #BringBackOurWema, mashabiki wa Diamond nao wameibuka na yao.


Katika Instagram imefunguliwa akaunti maalum ya watu wanaojiita TeamDiamondTz nao wameanzisha kampeni ya kumtetea Diamond huku wakimtaka Wema kuachana na starehe zisizo na faida kama alivyosema Diamond


No comments:

Post a Comment