Umoja wa mashabiki wa Manchester United wasioutaka umiliki wa wamerekani#TheGlazers wameandaa maandamano ya kuupinga utawala huo siku ya mechi ya dhidi ya QPR - mashabiki hao wamekuwa wakihamasisha wenzao dunia nzima kupitia mitandao ya kijamii hasa Twitter ambapo wana kampeni ya #GlazersOut wakisisitiza klabu yao kufanya usajili wa maana kabla ya dirisha la usajili kufungwa.
SERIKALI YASISITIZA UMUHIMU WA MAFUNZO YA UFUATILIAJI NA TATHIMINI KWA
MAENDELEO YA MIRADI YA SERIKALI
-
*Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) imezitaka
halmashauri, taasisi, na wadau mbalimbali wanaonufaika na mafunzo ya
ufuatiliaji...
20 hours ago
No comments:
Post a Comment