Umoja wa mashabiki wa Manchester United wasioutaka umiliki wa wamerekani#TheGlazers wameandaa maandamano ya kuupinga utawala huo siku ya mechi ya dhidi ya QPR - mashabiki hao wamekuwa wakihamasisha wenzao dunia nzima kupitia mitandao ya kijamii hasa Twitter ambapo wana kampeni ya #GlazersOut wakisisitiza klabu yao kufanya usajili wa maana kabla ya dirisha la usajili kufungwa.
No comments:
Post a Comment