Pages

Thursday, September 11, 2014

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BOHARI YA DAWA MSD


  Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa, Cosmas Mwaifwani (kulia), akimuelekeza jambo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitembelea Bohari hiyo iliyopo Keko jijini Dar es Salaam.Wengine ni viongozi wa MSD na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)
Ofisa Mauzo Mwandamizi wa MSD, Yona Msengi (katikati), akimuonesha Mke wa Rais Mama Salma Kikwete vitu mbalimbali vinavyouzwa na MSD. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas Mwaifwani.

 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akizungumza na wafanyakazi wa MSD na Wanahabari. Kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja wa MSD  Salome Mallamia na Kaimu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas Mwaifwani.
  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na 
Kaimu Mkurugenzi wa Manunuzi, Fredrick Nicolaus.


No comments:

Post a Comment