George Saguda akiwa na aliekuwa mchumba wake marehemu Rachel
Haule ‘Recho’ Akizungumza na paparazi wetu, Saguda alisema kwa sasa hahusiki na
suala la mirathi ya Recho japo alikuwa akiishi na marehemu kama mke wake na
kudai kuwa mali zote zilizokuwa zinamhusu Recho, tayari amezikabidhi kwa ndugu
zake.
“Marehemu Recho nilikuwa nikiishi naye kama mke wangu lakini
mali zake zote nimeshazikabidhi kwa ndugu zake kwa sababu wao ndiyo wanaohusika
na suala zima la mirathi endapo kutakuwa na ulazima wa kunishirikisha basi
wataniambia,” alisema Saguda
No comments:
Post a Comment