Low amemteua nahodha mpya wa timu hiyo.Kiungo wa FC Bayern Munich Bastian Schweinsteiger ndio amerithi nafasi iliyoachwa wazi na Philip Lahm.Bastian mwenye miaka 30 ameshaichezea Ujerumani kwenye mechi zaidi ya 100 tangu alipoanza rasmi kuitumikia timu hiyo mwaka 2004.
Manuel Neur pia ameteuliwa kuwa nahodha msaidizi wa Ujerumani.
No comments:
Post a Comment