TAZAMA PICHA::YANGA WAMWAGA ICE CREAM ZOTE ZA AZAM,WAITANDIKA GOLI 3 BUYU
Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.A Yanya imeshinda 3-0.
Kikosi kamili cha Yanga kilichoifunga Azam FC 3-0 katika mchezo wa Ngao ya Hisani leo.
Burudani : BSS Msimu wa 15 Wazinduliwa Rasmi
-
SHINDANO la kusaka Vipaji Tanzania Bongo Star Search 'BSS' misimu wa kumi
na tano umezinduliwa rasmi kwa sasa ni Bongo Star Search African wanavuka
boda...
RAIS MAGUFULI NA HISTORIA ISIYOFUTIKA
-
Na Emmanuel J. Shilatu
Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius
Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhur...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment