Pages

Sunday, September 14, 2014

TAZAMA PICHA::YANGA WAMWAGA ICE CREAM ZOTE ZA AZAM,WAITANDIKA GOLI 3 BUYU


Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka  beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.A Yanya imeshinda 3-0.
 
Kikosi kamili cha Yanga kilichoifunga Azam FC 3-0 katika mchezo wa Ngao ya Hisani leo.

Kikosi cha Azam FC.Na Michuzijr

No comments:

Post a Comment