Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na kuacha historia isiyofutika kirahisi,Sasa Bendi Yako imerejea Nchini Tanzani.Leo Kama kawaida yetu Skylight Band Tutakuwa Kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea Burudani ya Nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii......
Divas wa Skylight Band walisongesha Vya kutosha kutoa burudani ya Nguvu kutoka kushoto ni Aneth Kushaba,Digna mpera na wa Mwisho kulia ni Mary lukos
Digna Mpera akizipiga Vokal vilivyooo
Hashimu Donode akiimba kwa hisia kaliii kutoa Burudani ya Nguvu
Sam Mapenzi akiimba kwa raha zake kutoa burudani ya nguvuuu kwa mashabiki wake
Mrembo wa Skylight Band Mary Lukos akiwa na furahaaa kubwaaa kuona mashabiki wake wanafurahaaa
Aneth Kushaba akiimba kwa Hisia kali ndani ya Thai Village
Majembe ya Skylight Band Wakiongozwa na Joniko Flower Wa kwanza Kushoto wakiyarudi vilivyo kuwapa burudani mashabiki wao
Sam Mapenzi wa Kwanza kulia akifuatiwa na Sony Masamba(katikati) Na Joniko Flower Wa mwisho kushoto wakiyarudi mauno
Vijana wa kazi wakiendelea kupiga mzigooo
Baba ya Kongo Joniko Flower Akiongoza mashambulizi
Daudi Tumba kwa Rahaaa zake akichezea Tumbaaaa
Tophy Akilicharaza Bass Gitaa vilivyooooo
Idrissa akizicharanga Drums zake kwa rahaaa kabisaaaaaa
Mpiga Solo wa Skylight Akizicharazaaaa Nyuziiii
Rahaaaa sana ukipewa Burudani na Skylight band Aneth Kushaba Akiwaimbisha Mashabiki Wake
Mose Kinanda Akizipiga Ala Vilivyooooooo
Tophy Bass akimuonesha Mary Lukos Jinsi anavyolicharaza bass Gitaa lakeeee
Aneth Kushaba Mzuka Ukampandaa akaamua kwenda kucheza na mashabiki wake
Mashabiki wakijirusha kwa Rahaaa Zaooo
Rahaaa kabisa kila unapokutana na burudani toka Skylight Band
Haya sasa Wale wa mduaraaaa Haoooo kwa Rahaaa Zaoo
Hapooo kati sasa ni viuonooooo viunoooooo
Blogger Hussein Akiwa na wa ubani wake wakipata Ukodak wa nguvuuuu
AMVUNJA MBAVU MKE WAKE KWA WIVU WA MAPENZI
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamsaka Hamidu Abdalah kwa kosa la
kumjeruhi kwa kumpiga na chaga ya kitanda mke wake Amina Athuman Said 40,
mkazi wa Likon...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment